Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,715 Reaction score 11,324 Oct 29, 2020 #21 Sexless said: Watumishi wenyewe Akina Shekhe wa mkoa wa DSM? Akina askofu Gamanywa? Akina Mzee wa Upako? Walamba viatu Hawa. Mungu wao ni matumbo yao. Click to expand... Katika hao watumishi uliowataja mmoja atasomeshwa namba Awamu hii
Sexless said: Watumishi wenyewe Akina Shekhe wa mkoa wa DSM? Akina askofu Gamanywa? Akina Mzee wa Upako? Walamba viatu Hawa. Mungu wao ni matumbo yao. Click to expand... Katika hao watumishi uliowataja mmoja atasomeshwa namba Awamu hii
Investo JF-Expert Member Joined May 19, 2020 Posts 555 Reaction score 1,208 Oct 29, 2020 #22 Hakuna Cha utumishi Wala nin,kila mtu analilia tumbo lake,pambaneni kujikomboa hamna watu hapo