Watumishi wa Mungu Mlio Wabunge wa BMK

Watumishi wa Mungu Mlio Wabunge wa BMK

Joined
Apr 3, 2014
Posts
71
Reaction score
14
Ningependa msome maneno haya ya Mungu kutoka Biblia Takatifu, Zaburi 1:1-2 na yana sema hivi;

Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.

Hebu mtafakari maneno haya na mlinganishe na kinachoendelea hapo mjengoni.
 
ukweli wanaujua ila tatizo wako kuganga njaa zao kwa posho
 
Mkuu njaa ni mbaya sana, maandiko yanatafsiriwa kiposhoposho tu almradi laki tatu ipatikane kwa siku!
 
Ningependa msome maneno haya ya Mungu kutoka Biblia Takatifu, Zaburi 1:1-2 na yana sema hivi;

Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.

Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.

Hebu mtafakari maneno haya na mlinganishe na kinachoendelea hapo mjengoni.

Kuna wengine hapo wameshastaafu na hicho wanachokipata sasa ni kiinua mgongo,sasa wataanzaje kusema ukweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom