Watumishi hewa waanza kurudisha fedha, waliostaafu wajitetea kukosa mafao ya kustaafu!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,076
29,633
Hatimaye watumishi hewa katika halmashaur mbalimbali wameanza kurejesha fedha walizolipwa bila kufanya kazi.

Wengi wa watumishi hao ambao ni wastaafu wametoa kisingizio cha kukosa mafao yao ndio sababu ya kuendelea kuchukua mishahara kwani wamekosa fedha ya kujikimu.
 
Kama sio kwamba hela nyingi zimeenda kwa wapigaji wachache, hao wastaafu wangeachana nao tu. Hii nchi ina potential sources nyingi hebu tudeal na mambo makubwa.
 
Nakumbuka wale wa EPA! Nao walirudisha tukamalizana nao kimtindo, sijui hawa wa mishahara hewa nao tumalizane nao vivyo hivyo?
 
Hatimaye watumishi hewa katika halmashaur mbalimbali wameanza kurejesha fedha walizolipwa bila kufanya kazi.

Wengi wa watumishi hao ambao ni wastaafu wametoa kisingizio cha kukosa mafao yao ndio sababu ya kuendelea kuchukua mishahara kwani wamekosa fedha ya kujikimu.
Hizo pesa wanazorudisha wanazitoa wapi?
 
Huku tukiruhusu uvujaji wa pesa?...hizi akili zako...dah,inaoneka hata ukiulizwa jina lako..."unagoogle"..
Watu wamechukua mabilioni na sandarusi leo ndio wenyeviti wa bunge, twiga wamepandishwa ndege wakaondoka bila hatua yoyote ya maana kuchukuliwa, ww leo ukajifanye una uchungu na mshahara wa laki 2 wa mtumishi wako aliyekutumikia miaka 30 na malipo yake ya uzeeni ukayakopa, ww utakuwa unatakiwa kuishi mortuary.
 
Waliistaafu wanaendelea kuchukua mishahara hiyo kwa kukosa pesa za pensheni ambazo zingewasaidia kujikimu

Hao hao wastaafu wanaopokea mishahara hewa wanazirejesha..

Je hizo pesa wanazipata wapi za kuwelawezesha kurejesha hizo walizozipokea tena wengine hadi miaka kumi?

Je huoni kama taarifa yako inatoa uongo wa bayana?
 
Watu wamechukua mabilioni na sandarusi leo ndio wenyeviti wa bunge, twiga wamepandishwa ndege wakaondoka bila hatua yoyote ya maana kuchukuliwa, ww leo ukajifanye una uchungu na mshahara wa laki 2 wa mtumishi wako aliyekutumikia miaka 30 na malipo yake ya uzeeni ukayakopa, ww utakuwa unatakiwa kuishi mortuary.
Kwa hiyo mishara hewa iachwe?...bangi mbaya sana.
 
Back
Top Bottom