Watumishi hewa kwenye Halmashauri

Wakulaumiwa ni huyo rais wako uliyetaka awe rais bila kuchaguliwa na wananchi kama kaonewa kwanini asiende znzr?
 
Thread yako imekaa kiwivuwivu sana. Inaonekana umetoka shule juz na kimastaz chako sasa unataka ukuu wa Idara kisa mkuu wako wa idara hana mastaz. Kuwa na hekima ww, waheshimu uliowakuta kazini itakusaidia sana. Experience ni mwalimu mzuri kuliko elimu ya darasani. Mm nipo wizarani only 5% ya elimu yangu ndio naitumia. 95% ni experience niliyoipata kwa wale niliowakuta na ndio ina apply karibu kwenye kila kazi nayoifanya. Pia nimegundua pia watu hawasomi kupata elimu bali wanasoma ili wapate vyeo au kupanda madaraja ya mshahara! Naionea huruma sana Tanzania! Tuna watumishi wenye mastaz chungu nzima lakini output yao ni ndogo kuliko hata mtu mwenye certificate. Kwakweli nikipewa fursa nitachagua wachapa kazi sio watu wenye mastaz za kukariri definition.
 
Upo sahihi sana. Madaraja yafuate performance siyo idadi ya vyeti au miaka uliyokaa darasani.

Adhaniaye ana elimu kubwa adhihirishe kwa kutoa output kubwa zaidi kuliko anaodhani wana elimu ndogo.
 
Tusigeuke kasuku,tujiulize kwa pamoja kama taifa tumefikaje hapa leo kwa kuwa na watumishi hewa,nani katufikisha hapa na tuchukue hatua gani?
 
Hili swala linashughulikiwa kilofa (kisemo cha JKN),eti anayetoa taarifa ni yuleyule anayepiga dili za watumishi hewa.
Ninavyojua tunao usalama wa taifa ngazi ya wilaya,wanatakiwa wapewe hii kazi maalumu Tena kwa kushtukiza wazungukie idara zote kufumua maovu. Kwamara nyingine hatupo serious...tunapoamua kushughulikia jambo tulishughulikie kikamilifu na strategic sio kisiasasiasa tuu.
 
Nenda kasome master wewe acha visingizio havisaidii.
 
Hivii Magufuli ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar mbona aliongelea mapema hatoingilia?
Hivii Magufuli ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar mbona aliongelea mapema hatoingilia?
Hivii Magufuli ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar mbona aliongelea mapema hatoingilia?
Hivii Magufuli ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar mbona aliongelea mapema hatoingilia?
Magufuli jembe bana acheni siasa.
 
Magufuli yupo sawa shida ni watendaji wake wakurugenzi,kitengo cha mishahara ndiyo shida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…