Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 54
Niliwahi leta uzi hapa mtandaoni nikasema utafika wakati itakuwa ni aibu kumsifia Magufuli hadharani.Kilichotokea zanzibar kimenifanya nisione mazuri ya magufuli
Rais wa zanzibar ni shein mchezo umeisha bana.Bora watumishi hewa kuliko uchaguzi hewa wa huko Zenj.
Bora watumishi hewa kuliko uchaguzi hewa wa huko Zenj.
Una uhakika na unachokisema?Mkuu acha kusikiliza mambo ya siasa, hakuna kitu kinaitwa watumish hewa hapa Tanzania, ni maneno tu ya kuwafurahisha wapiga kura. Ni ngumu sana kuelewa nachosema ila ndo ukweli wenyewe ref kauli yako mwenywe ya watu kuwa masomoni bila vibali.
Hata mwaka bado watu washatiwa kabali..... Halafu naona kama watu washachoka vile..... Spidi imepungua....Niliwahi leta uzi hapa mtandaoni nikasema utafika wakati itakuwa ni aibu kumsifia Magufuli hadharani.
Kilichotokea zanzibar kimenifanya nisione mazuri ya magufuli
wilaya urambo inaongoza kuna afisa utumish mr DIDAS akishirikiana na MKURUGENZ pamoja na afisa elimu BESISLA wenyewe ndo vinala kuna waalimu waliondoka tangu mwaka 2012 lkn mishaara yao imekuwa ikilipwa na kuishia halmashauri. SASA HV WANAANGAIKA KUTAFUTA TSD NO. NA CHEQUE NO ILI WAANDIKE MAELEZO KUWA WALIENDA MASOMONI NA HAWAKURUDNaomba JPM awe makini na jinsi atakavyoshughulikia tatizo la watumishi hewa kwenye halmashauri zetu. Ninavyojua tafsiri ya watumishi hewa ni:
1. Watumishi waliofariki, kuacha kazi au kufariki lakini wakiendelea kulipwa mishahara
2. Watumishi ambao hawapo, yaani ni majina tu yanalipwa mishahara ikiwz watu halisi hawapo
3. Watumishi ambao wameondoka kwenda masomoni huku kjkiwa hakuna barua au nyaraka za kuwaruhusu kufanya hivyo
4. Watumishi ambao wamejipandisha madaraja na mishahara kwa udanganyifu
5. Watumishi wanaoshika nafasi za ukuu wa Idara huku wakiwa hawana sifa na wenye sifa wapo
KINACHOTOKEA HIVI SASA
Baada ya agizo la mh Rais, hivi sasa wakurugenzi na wakuu wa idara wako bize kutengeneza nyaraka feki ili kuhalalisha uchafu wao. Wanaandaa nyaraka kuonyesha walioondoka kwenda masomoni kinyume na taratibu kuwa walifuata taratibu.
Aidha, wanajenga mazingira kuonyesha kuwa waliopewa ukuu wa idara wakiwa hawana sifa walistahili kwa kuwa wenye sifa hawakuwepo. Hili ni kutaka kujiokoa na kutumbuliwa.
Nashauri mh. Rais kupitia wawakilishi wake na wanausalama waombe CV za watumishi wote ili kubaini uongo huu na wanaostahili na walio na sifa wapewe nafasi.
Kama sasa ilivyo aibu kumsifia yule mliyemzungushia mikono??Niliwahi leta uzi hapa mtandaoni nikasema utafika wakati itakuwa ni aibu kumsifia Magufuli hadharani.
Haya piga push up 8 hapo faster.Kama sasa ilivyo aibu kumsifia yule mliyemzungushia mikono??
Jamani tusitoke nje ya madaHaya piga push up 8 hapo faster.