dalali maridadi
Member
- Sep 13, 2015
- 49
- 29
Binafsi kulingana na pirikapirika zangu Kuna watumishi Hawa wawili hua naona hawana wito wa ajira Yao
Nawataja hapa kwavile mara nyingi nikifata huduma Yao majibu Yao au utoaji huduma wao unaweza jikuta unapanick sema ukicheck wewe ndio mwenye shida ya huduma inabidi tu utulie
Ebwana Kuna huyu mdada bonge mfupi mweupe pale mahakama ya mwanzo kinondoni hatari
Na huyu muhasibu wa CRB pale Eastern zone mpingo house noma
Labda damu zangu zimeshindwa kuendana nazo,. We mwenzangu watumishi gani ambao ushawahi kukutana nao ukasema duh!?