Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 274
- 584
- Thread starter
- #181
hebu muwe mnaangalia na watu wa kuwaibia basi, wengine mtajikuta mnaishia pabayaHebu twende taratibu...
Wakakuambia "nliweka pesa kupitia simu(Tigo) miezi saba iliyopita bahati mbaya lile salio halikukatwa na tigo..."
Wewe mwenyewe unasemaje?! Uliweka pesa kwa kutumia Tigo?! If YES, umeangalia bank statement kuhakikisha kwamba kweli hiyo pesa haikuingia?!
Kama haikungia, kabla ya kwenda huko Tigo na kukuambia "Hakuna kitu kama hicho", uli-request Tigo Pesa Statement kuangalia ikiwa kweli hiyo pesa haikukatwa?!
Na kama Tigo Pesa ilikatwa, statement ya Tigo Pesa inaonesha DR ya Tigo Pesa na CR for the same amount kuonesha kwamba kweli pesa ilirudishwa Tigo Pesa?!
Sometimes Wateja na wenyewe wanakuwa na Janja janja nyingi, and when it comes to banking, hakuna cha janja janja!!!
Hapa weka uzi kishauliza wangapi wakiona kuna pesa imeingia kwenye akaunti yao kimakosa, watairudisha au wataripoti bank... majority watakuambia "Hawarudishi" huku wakidhani ni ujanja, kumbe ikitokea issue ya aina hiyo, watakachofanya bank ni kukupiga overdraft tu...