Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 53,347 Reaction score 129,641 Apr 12, 2025 #41 Marco Polo said: Watu wadhulumati sana Click to expand... Watu wanatapeli hadi mia ๐ฅ
Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 1,006 Reaction score 929 Apr 12, 2025 #42 Oh! Asante nilikazia akili kwenye price ya device zaidi nimeona ni big deal kwa sisi ambao tunaofisi ambazo hazina mahitaji makubwa ya internet. It's Big deal Vincenzo Jr said: Tazama picha hapo imeandikwa Click to expand...
Oh! Asante nilikazia akili kwenye price ya device zaidi nimeona ni big deal kwa sisi ambao tunaofisi ambazo hazina mahitaji makubwa ya internet. It's Big deal Vincenzo Jr said: Tazama picha hapo imeandikwa Click to expand...
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,777 Reaction score 42,921 Apr 12, 2025 #43 Shing Yui said: Kadri simu inavyokua na uwezo mkubwa ndivyo MB nyingi zinabaki pending zikishindwa kutumika. Kuna anbao zikibaki MB 15 internet haifanyi kazi japo ukiangalia salio unazikuta Click to expand... Wanapaswa waziache ziishe zote
Shing Yui said: Kadri simu inavyokua na uwezo mkubwa ndivyo MB nyingi zinabaki pending zikishindwa kutumika. Kuna anbao zikibaki MB 15 internet haifanyi kazi japo ukiangalia salio unazikuta Click to expand... Wanapaswa waziache ziishe zote
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,125 Reaction score 54,469 Apr 12, 2025 #44 Inside10 said: Wanapaswa waziache ziishe zote Click to expand... Kifaa unachotumia ndio kinaendesha hilo zoezi
Inside10 said: Wanapaswa waziache ziishe zote Click to expand... Kifaa unachotumia ndio kinaendesha hilo zoezi