Kwahy ulitakaje, kwamba kisa umelipa 98% ya deni bc hiyo nyingine usamehewe?Mkuu nilikuwa na DENI la 2100 nikaweka vocha ya buku 2 ikabaki Mia nilipoomba mkopo WA 1000 wakagoma mpaka nilipe na Ile 100 was that fair ?
Wabongo bhana, cjui mna matatizo gn ya akili. sasa hapo uhuni uko wapi, Yn umekopa umetumia kwa raha zako ila kulipa deni ndo unaona uhuni?Kumbe wahuni
Airtel na yas unaweza kukopa ucpo malza deniKwahy ulitakaje, kwamba kisa umelipa 98% ya deni bc hiyo nyingine usamehewe?
Wabongo bhana, cjui mna matatizo gn ya akili. sasa hapo uhuni uko wapi, Yn umekopa umetumia kwa raha zako ila kulipa deni ndo unaona uhuni?
Kwahy Voda kukataa hilo ndo uhuni?Airtel na yas unaweza kukopa ucpo malza deni
Hujaeleweka, hebu eleza vizuri.Mimi ni mitandao yote inakua hivo... Kama huna hela ya kuunga kiturushi na unataka kutumia hizo MB, bas washa kindege alafu uzime
Subiri yale matutusa ya JF yaje kukudhiaki wakati unauliza kitu cha msingi na kupiga vita wizi.Kila nikibakiwa na mb 30-40 naambiwa nimemaliza kifurushi sijui tatizo nin?
Kwamba hizo mb zinazobaki huwezi kuzitumia au?Kila nikibakiwa na mb 30-40 naambiwa nimemaliza kifurushi sijui tatizo nin?
Bora wewe ni 30-40 mimi 70-90Kila nikibakiwa na mb 30-40 naambiwa nimemaliza kifurushi sijui tatizo nin?
Hao Mixx by Nyash hawataki ujiunge vifurushi vya kimaskini. Weka bando la kuanzia buku 10 hautatumiwa meseji wala nini.Kila nikibakiwa na mb 30-40 naambiwa nimemaliza kifurushi sijui tatizo nin?
Huwezi kuzitumia, utajipinda kuongeza GB ikifika 50 ikishuka 40 mwisho 38 mb lazima ikate internet.Kwamba hizo mb zinazobaki huwezi kuzitumia au?
Kama Lisu anajitowa sadaka kutetea watu wenye akili kama hizi huu ni msiba mzito.Hao Mixx by Nyash hawataki ujiunge vifurushi vya kimaskini. Weka bando la kuanzia buku 10 hautatumiwa meseji wala nini.
Kazi ipo ๐Huwezi kuzitumia, utajipinda kuongeza GB ikifika 50 ikishuka 40 mwisho 38 mb lazima ikate internet.
Yani ukitaka kutumia hizo MB 30 zilizozuiliwa, washa airplane mode alafu uzime... Baada ya hapo zitatumikaHujaeleweka, hebu eleza vizuri.
Airtel fees ya mwezi ni how much?Ni matumizi ya internet bila Kikomo unapewa router unakuwa unalipia hivi vifurushi Mimi natumia ya Yas mkuuView attachment 3300804
Watu wadhulumati sanaKwamba unataka usilipe kisa umekopa 100?
Tazama picha hapo imeandikwaAirtel fees ya mwezi ni how much?
Kadri simu inavyokua na uwezo mkubwa ndivyo MB nyingi zinabaki pending zikishindwa kutumika.Bora wewe ni 30-40 mimi 70-90
Sijui wanashida gani?!
Na uko bungeni jana na leo wamelamba laki 6, 6 za kodi zetu kwa kumnanga lissu siku mbili mfululizo