Watumiaji wa vifaa vya mfumo wa android ili lime kaaje?

Watumiaji wa vifaa vya mfumo wa android ili lime kaaje?

Atacms

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
5,613
Reaction score
10,503
Habari zenu wakuu !!

Katika kuperuzi peruzi apa JF nime jikuta kila post ina onesha Just now hata kama ni comment ya siku chache zilizo pita notification pembeni inaonesha just now

Kwa watumiaji wa insta pia uki iingia kila post ina kwambia 1 Sec ago ilihali ni post zime wekwa toka mchana
Vipi hili swala kuna mabadiliko yame fanyika kweny mfumo wetu huu pendwa ama ?

Mwenye ufafanuzi aliweke hili sawa

Nb
Simu ni LG G series natumia
 
Hiyo simu nilishawahi kuwa nayo,ilinisumbua sana kwenye suala la sms,naweza kupokea sms ile ile zaidi ya mara 10,yaani kama vile inakuwa imejipiga copy.Ukimuuliza aliyetuma kama ametuma zaidi ya mara moja anasema nimetuma mara moja tu,ila kwangu inaingia kila muda sms ile ile.
 
Nahisi simu za LG kuna shida mahali hasa kwenye application zake
 
Una tumia Lg pia?
Hii hali ume kutana nayo pia mda huu?
Nilikuwa natumia Lg G3,kwenye app ya jamii forum sikuwa nafuatilia shida kama yako,nilikuwa napata shida ya suala la sms ninazopokea kuwa duplicated
 
Back
Top Bottom