Watumiaji wa QSAT, don't Skip this thread.

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
484
Hallo Wana JF.
Mimi nnatimia receiver ya Qsat 13G. Quality ya Picha nnayoipata ni Mbovu kupitiliza nikilinganisha hata na kisimbuzi cha Azam. Nimeload pia Account ya DQIPTV kwa ajili ya Channels za BEIN Sports nkijaribu kuzistream kwa 4G LTE Network ya Smile akini Bado Quality ya Picha ni mbovu. Pia Upande wa Movie walizoload kule Store hazina Kiwango kabisa. Mawimbi kibao utadhani unatizama Picha kutoka kwenye Deck ya VHS enzi hizo.

Naombeni kujua kwa wale wanaotumia Qsat Q11G hali ikoje huko kwao. Ila nimebahatika kuona Picha ya G6,picture quality yao iko safi sana. Sasa hii Qsat sijui wamekosea wapi.

Nshajaribu kucheza na settings kwa ajili ya kurekebisha Quality ya Picha lakini imeshindikana.

Naomba kuwasilisha hapa kwa Uchambuzi zaidi. Thanks.
 
Mi natumia Q11, quality nzuri kbs, zikifunguka za HD ndio zaidi. Sijawahi kupata quality mbovu kama zile za streaming kwenye mtandao hafifu. Natumia acc ya AvatarcamHD
 
Hallo Wana JF.
Mimi nnatimia receiver ya Qsat 13G. Quality ya Picha nnayoipata ni Mbovu kupitiliza nikilinganisha hata na kisimbuzi cha Azam. Nimeload pia Account ya DQIPTV kwa ajili ya Channels za BEIN Sports nkijaribu kuzistream kwa 4G LTE Network ya Smile akini Bado Quality ya Picha ni mbovu. Pia Upande wa Movie walizoload kule Store hazina Kiwango kabisa. Mawimbi kibao utadhani unatizama Picha kutoka kwenye Deck ya VHS enzi hizo.

Naombeni kujua kwa wale wanaotumia Qsat Q11G hali ikoje huko kwao. Ila nimebahatika kuona Picha ya G6,picture quality yao iko safi sana. Sasa hii Qsat sijui wamekosea wapi.

Nshajaribu kucheza na settings kwa ajili ya kurekebisha Quality ya Picha lakini imeshindikana.

Naomba kuwasilisha hapa kwa Uchambuzi zaidi. Thanks.

Mkuu Hilo linaweza Kuwa Tatizo la hiyo receiver, Mimi binafsi Nimetumia Q11, 13 na 15 sijawahi kukutana na Tatizo la quality ya picha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom