Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,055 Reaction score 781 Apr 13, 2012 #1 nimezinasa kwenye blog ya mdau mmoja huko bk BUKOBA PAMOJA issue hapa ni kwamba wengine tumesoma kwa hii kitu,ni kinywaji maarufu sana huko bk,imenikubusha mbali
nimezinasa kwenye blog ya mdau mmoja huko bk BUKOBA PAMOJA issue hapa ni kwamba wengine tumesoma kwa hii kitu,ni kinywaji maarufu sana huko bk,imenikubusha mbali
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,968 Reaction score 98,093 Apr 13, 2012 #2 Ulevi nomaaaaaaa!
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,150 Reaction score 7,416 Apr 13, 2012 #3 Nakunywa sana hiyo..
D Dotowangu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 242 Reaction score 77 Apr 13, 2012 #4 wazee wa KALIINYA.
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,739 Apr 13, 2012 #5 Nzuri sana hii
Ta Muganyizi R I P Joined Oct 19, 2010 Posts 5,355 Reaction score 2,739 Apr 13, 2012 #6 Jasiri haachi asili......ukinywa hii magoti yote pwaaaaaa........ikiwa kali tunapika konyagi
M Miruko Senior Member Joined Feb 8, 2008 Posts 174 Reaction score 46 Apr 13, 2012 #7 Sijaona 'enkorogo' hapo
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,607 Apr 14, 2012 #8 tamu sana