Watumiaji wa Elasticsearch

fundi_umeme

New Member
Apr 12, 2020
1
0
Habari jamii, kwa Software Developers hapa ningependa kujua kama kuna waliowahi kutumia Elasticsearch. Uliitumia kutatua tatizo gani?
 
Hio ni database kama zilivyo mysql, oracle....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba... Dah!

Elasticsearch sio database kama hizo ulizotaja. Ambazo mainly ni SQL elasticsearch ni NoSQL kwasababu haina structure na inaweza pokea structure yoyote.

Na Pia ukiona unatumia elasticsearch kama DB tu... Pengine ni vizuri kurevisit use case yako kuangalia kama ni sahihi kubebea mzgo wa gunia 2 kwa kutumia scania 😂.

That said.

Personally naitumia kwa project ambayo siwezi weka details nyingi wazi for now. Ila mainly ni kama search engine, log analyzer na analytics za user actions.

Kwenye logs hapa mfano, nakua na standard log format flan ya application/system ambayo ni JSON.

Bhana bhana. Inakua ni rahisi sana kufanya queries za aina yoyote kwenye hizi data. Mfano error gan inatokea sana kwenye service, users wanafanya actions zipi sana, n.k

Unaweza hisi mbona hata Google analytics inafanya haya, lkn visualizations unazoweza tengeneza from elasticsearch kama unatumia na kibana ni one of a kind mkuu.
 
Back
Top Bottom