SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Mimi ninashiriki kikamilifu kupiga vita haya makitu.
Si unajua ukila hiyo mgegedo unajiachia ndio maana nimeacha wazi ujiachie vzuriFunga zip basi.
Si unajua ukila hiyo mgegedo unajiachia ndio maana nimeacha wazi ujiachie vzuri
Hahaaaa. Lmao.
kitu halele, maini, engaree, veve,!Nyosha kidole....................
hiyo inalaza Man....ngoma inasimama kichwa tuu kwingine desh......!Nikuletee kangeta?
Hahahaaaa. Hata ikikosekana members lazima wawekewe !!!!lmao.
Imefika wakati ihalalishwe na sijui kwanini waliiharamisha?