Watumiaji Mpooo?

Ulevi wake unaitwa HANDASI!!!! Sijui hili jina limetokea nchi ya Pembe ya Afrika iliyodumu bila serikali kwa kipindi kirefu kuliko nchi yoyote duniani....
 
Kwetu ni mboga ya ugali hiyo kwa sanaaaa. Ukimpata mpishi akakuwekea na kakaranga kidogo basi mwake mwakeeee!!
 
stim zimepanda, ngoja nikirudi home nikatafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…