Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,191
Tekno mkuu, inajpangia cha kuandika. Ngoja nuzichande ninunue Iphone 13 nami niwe kama wewe.Lumumba jana jipya. Ndio lugha gani hii?? KAJIFUNZA KIMOMBO KIKALI ZAIDI.
Tekno mkuu, inajpangia cha kuandika. Ngoja nuzichande ninunue Iphone 13 nami niwe kama wewe.Lumumba jana jipya. Ndio lugha gani hii?? KAJIFUNZA KIMOMBO KIKALI ZAIDI.
Mtu mwenye mawazo ya hovyo sana
Kudhani ni sawa waafrika kukaa na roho za visasi na watu waliowaonea zamani
Anaamini ubaguzi mrejesho kwa wazungu na mataifa mengine ni sawa
Anaamini africa inaweza kujifanyia vitu yenyewe bila kushirikisha ulimwengu
Anadhani kukaa na kubagua wengine na kulalamikia ukoloni uliokwishapita ndio solution
Anadhani waafrika ndio wanadamu bora kuliko wanadamu wengine
Wanadamu tupo duniani miaka zaidi ya bilioni,uonevu ushatokea mahali pengi kwa mamiaka elfu na elfu
Tatizo ni kwamba,wale walioonewa walikuja wakajifunza mbinu za maendeleo na wakawapita wale waliowaonea lakini sio upumbavu wa malalamika na reverse rascism
Mfano bora ni Wachina vs Wajapan....wajapan walishawaonea wachina na kuwatawala kwa muda mrefu tu,ila leo China imeipita Japan kwa kila kitu,lakini huoni upumbavu wa ubaguzi na kukaa kunung'unika badala ya kufanya kazi na kutatua matatizo na kufanikiwa na kuwapita waliokutangulia
Huyu anakula na kupata hela za speaking sababu ya malalamiko yasioisha ya ukoloni na kutukana wazungu na mataifa mengine maana anagusa sentiments za waafrika hivyo atapata followers
Hawezi sema tufanye kazi kwa bidii,tujenge demokrasia zetu,tufanye biashara na dunia nzima bila ubaguzi,tuibe maarifa,tujenge teknolojia,tufanye uzalishaji tuuze tupate fedha tujenge hizi nchi tuwapite walio mbele yetu....hasemi hivi maana hatapata wafuasi
Hapa umeandika.Naskia aliwahipewa Taasisi moja Kenya kuiongoza, aliishia kuongea tuu hakuna kilichofanyika🤣🤣🤣
Sawa Mkuu upo right..thanksHapa umeandika.
Au mi sijui kusoma, usema alipewa taasisi akashindwa unamaanisha nini?
Kunatofauti gani na mtu anaemini kuwa bosi wa taasisi ndie anaebadili taasisi.
Unajua kuleta mabadiriko kwenye taasisi ya serikali ni ngumu sana hasa kwa sheria na mifumo iliopo, muda mwingine huna hata meno ya kufukuza wafanyakazi au kubadili sera.
Mfano JPM alikuwa anajatribu kubadili tabia za taasisi hivyo alivunja hadi katiba kutokana na kuwepo urasimu ktk nchi, sasa kwa mtu ambae hana mamlaka kama ya raisi ni ngumu sana kuzibadili taasisi zetu ila lawana hutupiwa yeye kwa sababu mkubwa ni jalala.
Nenda mtaa wa Mkwepu utavikuta vitabu vyake, kama vimeisha utaelekezwa pa kupata. Naamini bookshop bado ipo, ingawa ni kitambo kidogo nilipotembelea maeneo ya mjini kati Dar. Ni jirani sana na ilipokuwa Club Bilicanas ya Freeman MboweMkuu ni Hard copy??? Mi soft copy inanisumbua Sana naomba Tafadhali kama unaweza kunielekeza pa zkupata Hardcopy
Kabisa!Myles Monroe ni MTU MWINGINE aisee. Very powerful orator. Very rich in knowledge.
Kweli leo ndio nimeamini kuwa wapo ambao hawakufungwa minyororo bali walijipeleka wenyewe kwa hiyari yao utumwani.Huyo mmoja Myles Monroe unatakiwa ujisifie kwasababu ya jina lake limeenda shule na ukilitamka linaleta ladha flani.
Lakini hao wengine wawili hayo majina Yao ya pili yamekaa kushoto sana sijui Lumumba sijui Mpongo WTF. Kwenye Joshua kaanzia vizuri Dah kamalizia Mpongo really?! Utazan ni jina flani la miti shamba huko Nyarugusu.
Kuna majina mengi tu huyo Joshua angejipachika pia Lumumba angelifuta wangeejiita Rodgers Stone, Charlie Preston, Phil Davis, Jonathan Ross, Bruce McGregor, Tommy Fury, Chris Wallace, Avitus Cummings ingependeza sana.
mjingamimi The Boss @secret file