Pundit,One can equally come up with great achievement for any race.
Good pep talk for self esteem though, for those who need such fluff.
Pundit,
sijamaanisha races nyingine hawana michango yao, ila
Dr Watson anayesema weusi hamna kitu, tunamdefeat kwa ushahidi huu, tena hata wenzetu wanaoamini kila kitu kafanya mzungu wapate ujumbe hapa kwamba si kweli
Weusi wengi tu walishafanya maajabu ila siku zote historia hupotoshwa ama kutothaminiwa na watu ambao wao hujiona kwamba ni superior wa mwenzake.
http://www.drbencarson.com/
Waridi
Hao wavumbuzi weusi walogundua hayo walogundua hawakufanya hivyo kwa sababu ya rangi ya ngozi yao. Naamini watu hao hao wangegundua yote hayo kama wangekuja duniani wakiwa katika race nyingine.....
Tena Mkuu Nyani, kwa taarifa hii uifanyie ukarabati sahihi yako
Swali: Mbona hao watu weusi hawavumbui vitu vitakavyoifanya Afrika iondokane na umaskini na ufukara..?
sasa hao vipanga mbona wasibaki home kuendeleza bara lao?Africa sijui kuna nini?haiwezekani nchi zote zikawa na mabaya yanayofanana?kidogo south AFRICA nako ni kwa sababu wazungu walikaa muda mrefu!kweli waafrica tuna matatizo!Brain drain inaondoa human resource ya maana katika bara la afrika, usidhani yanaibiwa madini tu. wakishaondoka hao vipanga wetu kwenda kufanya mavituzi huko nje, nyumbani kunabaki wasanii na mafisadi wakishikilia madaraka na kuudumisha umaskini.
Hivi wewe kumbe bado unaishi? ina maana kifo chako ilikuwa ni uvumi tu?Swali: Mbona hao watu weusi hawavumbui vitu vitakavyoifanya Afrika iondokane na umaskini na ufukara..?
Mkuu Mwakimbi,ukikaa ukafikiria na kuanza kuandika mafanikio ya mtu kwa kuangalia ngozi yake, ukaa tena na kufikria ukaanza kuandika mafanikio ya mtu au watu kwa ukabila wao, na hujachoka ukakaa tena na kufikria ukaanza kuandika mafanikio ya watu au mtu kwa udini wake jibu ni rahisI NALO NI-WEWE NI MMOJA WA WATU WANAOFIKIRI KIBAGUZI! NA WEWE NI MBAGUZI KWA NJANJA ZOTE.
Ukiangalia historia ya dunia sio miaka 500 iliyopita, kama 2000 iliyopita, race ya mweupe ni ya mwisho kustaarabika weusi walikuwa wa kwanza
1)Chunguza alphabet tunayoitumia sasa hivi source yake ni wapi?Ni waafrika wa egypt.
2)Oldest standing stone building in the world ipo wapi? afrika(ilijengwa 3000 bc)
3)Calendar tunayoitumia sasa hivi ilianzia wapi? Afrika.
4)Mzungu i.e wagiriki walichukua teknologia hii na kuiendeleza,lakini SOURCE kubwa ni waafrika.(soma aristotle,herodotus, sikiliza,wanasemaje kuhusu walipotoa elimu yao)
Hizo ni blah blah tu....hakuna lolote
Swali: Mbona hao watu weusi hawavumbui vitu vitakavyoifanya Afrika iondokane na umaskini na ufukara..?