Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 902
- 1,924
- Thread starter
-
- #41
Ndo shida ilipo, hatujafunzwa kuwa wazalendo wa kuthamini chetu.Myahudi anathamini chake...
Mchina anathamini chake...
Mkorea anathamini chake....
Masalakulangwa anaamini UKOMBOZI WAKE utatoka UARABU NI NA ULAYA....shame[emoji26][emoji26]
Alafu ibada za mafuta, chumvi na maji sijui yaani hovyo hovyoWeusi tuliletewa dini ili tupumbazwe zaidi nenda Nigeria kila kona ya mtaa utakuta kanisa.
QmmkeKikao chochote lazima atafutwe mtu mweupe akae mbele hata kama hajui anafanya nini.
Vitu vingine inabidi tu uelewe kuwa ni athari za ukoloni.Lugha ya kiswahili inajitosheleza,kutumia maneno ya lugha nyingine katikati ya sentensi ya kiswahili ni uzwazwa. Tuheshimu vya kwetu. Tujipe heshima sisi wenyewe,tusisubiri kupewa na wengine. Uliwahi kuona muingereza akichanganya kiswahili kwenye maandishi yake? Kuna waingereza wangapi wanashabikia timu zetu huku Tz?
Sidhani kama wewe ukipelekwa iceland utaifurahia hali ya hewa ya kule hata kama itakuwa ni mara ya kwanza kwako wewe kufika kuleNi sawa ila hakuna uzuri utaokosa kila sehemu kutokana na kitu kuwa kipya kwako .
Trump was right to tell us that, because we deserveWe are
Shithole
Kwani india haikutawaliwa ?What I know for sure, uwezo wetu wa kiakili ni mdogo kuliko wahindi, waarabu na wazungu.
Sijui hii imesababishwa na nini. Tuulaumu ukoloni huenda ulituharibu akili zetu
Vladmir Putini naomba umpige spana huyu Zelensky kajiletaKm umekata tamaa ya masiha qwe jinyonge tu jiubge na mtetezi wa wanyonge, Nigeria ni pure blacks na ni nchi ya kwanza kwa uchumi Afrika, tajiri wa kwanza Afrika ni pure black Dangote, nchi km Botswana ni blacks na wana uchumi mzuri sana. We una inferiority complex na kweli kwa akili hiyo hutatoboa wakati wenzio wanapambana. Marekani tangia ipate uhuru ina miaka 247, sisi tuna miaka 60, kwa akil yako unafikiri miaka mingine 200 ijayo Afrika itakuwa wapi. Ndugu tuliza boli kila jambo lina pakuanzia, hayo maendeleo yameanza Ulaya yatafika hata Afrika. Hata Ulaya kulikuwa kuna rushwa sana, hayo mambo hayataisha, muhimu tupambane tuiunge serikali yetu mkono kwakufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi stahiki.
Miafrika hovyooo!Sana.
Kwa kiasi kikubwa umaskini na uduni wetu unasababishwa na sisi wenyewe wala siyo wazungu.
Hasa uongozi mbovu (hili ndiyo tatizo cronic) na pili sisi waafrica hatujafunzwa kujikubali na kujipenda wenyewe, kuyapenda mataifa yetu, kwa kifupi uzalendo hatuja funzwa
Na karne ngapi zimepita mpaka leo na hatujajofunza ?People, or a people shouldn't suffer unless they are guilty of something.
Some Africans (the majority) suffers because of ignorance. You know; ignorance ain't innocent! Ignorance is a big mistake while stupidity is a full blown sin.
All suffering is for the purpose of learning, If you claim someone is suffering, don't end up pitying him/ her too much. Tell it to take responsibility and learn from it. Even heaven is not for the stupid.
Kiswahili:
Watu hawapaswi kuteseka pasi na kuwa wamefanya kosa lolote.
Baadhi ya waafrika (walio wengi) huteseka kwa sababu ya kutokujua/ujinga. Unajua nn bro; ujinga sio kutokuwa na hatia, ujinga ni makosa makubwa na upumbavu ndio dhambi kabisa.
Kuteseka kote ni kwa kusudi watu wajifunze. Hivyo unapokiri kwamba mtu fulani anateseka, usiishie kumuonea huruma saaana. Mwambie pia achukue jukumu la kujifunza kwa hicho kitu. Maana hata mbinguni hawawezi kaa wapumbavu.
Kuna kijana Mweusi kazipata juzi tu kutoka kwenye Janga kubwa la Ufukara lakini alipozipata kazi yake ilikuwa kuhakikisha Amewavua Chupi wanawake wote wa Bongo movie na Bongo Fleva..Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.
This is Black People.Miafrika hovyooo!
Mijitu inaiba trillions halafu wenzao hawana hata ule uwezo wa kununua hata Aspirin. Who does that? Hata monkeys huwa wanajaliana na kusaidiana kuliko Mwafrika kwa Mwafrika.
View attachment 2711099
Tatizo Ccm π πInauma sana ukifikiria na iyo dini Cjui hata watu wanapata moyo wapi kuamini kuna Mungu angeweza kuruhusu Haya; angalia wayahudi kwa miaka michache tu wamejiinua na Taifa Lao lina nguvu, wakorea, wachina wote walitawaliwa lakini cc hata hasira Hamna tunasikia maneno tu ya kina Lumumba but no development. Inauma sana but mpk nakufa Africa haitokuwa popote.
Huenda hujanielewa.watu weusi matajiri ni wengi sana, sema we na ukoo ndio mtakuwa maskini milele
Nadhani zanzibar inatembelewa kuliko Nchi nyingine africa.Broo niko Zanzibar for almost 5 years now.
Nakutana sana na watalii wazungu kutoka mataifa mbali mbali ulaya na kupiga now stori kadhaa.
Believe me wazungu wanasema "Africa is like a paradise".
Wanasema Africa ni nzuri mno kuliko ulaya, wanasema hali hewa tunayo nzuri, arable land ya kutosha, watu wake ni wakarimu bado tofauti na ulaya kila mtu yuko bize na mambo yake kiasi kwamba unaweza kufia ndani na upweke hata mwezi mzima na watu wasijue kuwa umefia ndani.
So, sisi hatujui kuwa tuko sehemu nzuri sana
Ecowas wanaogopa na wao maana huingia madarakani kwa wizi wa kura na uchafuEcowas yuko tayari kushirikiana weupe kumtwanga Niger wakati wananchi wameyaunga mkono mapinduzi,Afrika bara lililoacha utamaduni wake na kufata tamaduni za weupe[emoji24][emoji24]
Umemaliza Shughuli, mjadala na ufungweMstari unaomtenganisha mtu mweusi na nyani ni mwembamba sana. Wenyewe hatujikubali,hatuwezi andika maneno matano bila kuweka huko kiingereza. Mleta mada mwenyewe ana jina la mzungu. Sisi ni manyani yaliyochangamka.
Hujanielewa na ndiyo maana unazungumzia individually.Unamjua Mansa Kankan Mussa ?
Kamtafute alafu urudi tuendelee kuongea...;
By the way Mmasai kule Kijijini ambaye ana kila kitu (Chakula, Malazi na Mavazi) pamoja na kuvinjari na kuenjoy chochote anachotaka ni tajiri au masini ? Je wale red indians ambao walikuwa wanaishi sustainably (wana-fish what they want, hunt what they need na enjoy from dusk till dawn) je wao walikuwa matajiri au masikini