Watu wengine sijui wana akili gani tu

Watu wengine sijui wana akili gani tu

pure gunner

Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
38
Reaction score
26
Wanabodi salamu kwenu nyote

Ipo hivi wadau, leo katika mishemishe zangu hapa town mara ghafla akaja kijana wa makamo sehemu ofisi yangu ilipo kwa ajili ya kupata huduma lakini nilipomuona nikajiridhisha kabisa ni kijana tuliekuwa nae mtaani huko kijijini kitambo hivyo ikabidi nimsogelee walau nimjulie hali na kubadilishana mawazo kabisa

Lahaulaah sikuamini kilichotokea nimemsabahi vyema ajabu mwanaume anajibu kwa mapozi balaaa na dharau za hali ya juu kumueleza ndugu vipi sura yako si ngeni kwangu kama tumeonana sehem Jamaaa sijui kaniona kama muhuni kwa kuwa sijachomekea kama yeye au kwa kuwa sikuwa ki official kama yeye, jamaa kajibu hata bila kuniangalia vizuri hajui lolote akasepa.

Nimeuzika sana na huyu mpumbavu kenge kabisa anafikiri wote labda tusiokua ki official ni wahuni wa hapa mjini au ombaomba shetwain kabisa.

Naweza vaa sendors na bado pesa naingia sio lazima wote tunyonge tai na joto hili au kuwasikiliza watu wa tabaka fulani tu kulingana na status zao.

Mtu kakuita msikilize kwanza bila kujali huwezi jua ana umuhimu gani kwako.Mwanaume kama mwanamke bana.
 
Relax kaka,

mtu kama huyo atakuja anataka msaada wako,

sasa hapo ndo utamwambia aache jeuri za kishamba,
 
Kwa hiyo sentensi ya mwisho bora alivyokudharau
 
Back
Top Bottom