Sasa mkuu ata kama nipo rafu ndo usinisikilize kweliMjini hapa vibaka kibao,we mwenyewe unaonekana ulikua "rafu" ulitaka jamaa akuamini vp.
Umesoma hio link hapo juu jinsi utapeli unavyoendelea hapa dar?Sasa mkuu ata kama nipo rafu ndo usinisikilize kweli
Sawa mkuu nimekupataWw ndio mchokozi unavamia vamia watu.
acha watu wakukumbuke wenyewe usijipendekeze
ukumbukwe .........
usirudie tena alaa........