watu wengine kwa mikwara......

akikwambia ham-treat vizuri?

Akinijibu negative,naitisha kikao cha familia! Yaani cute,innocent lady like her apate misukosuko unnecessarily...it is impossible!

BAGAH huyo shemeji yangu tulikaa naye humu akiwa mpweke,tena tarehe ya kujaza watu ilikuwa imekaribia... Nitty akafanya soo kitaa,kesi kwisha wakamsweka lupango..
Alikuwa analia kutwa kucha,hadi kuna wakware walianza kummendea...

Uliza nilichofanya..au muulize SL mwenyewe.. Maana ye ndiyo alinigombelezea... Bado kidogo ningefungua bucha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…