Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 280
Watu wengine hawajui thamani ya wapenz wao wa mpaka pale watakapo wapoteza...[emoji174]
#ValueOfthingsView attachment 2455982
Yes, hakika Iko hivyo! Cjui huwa ni kwanini?Hii ina apply sekta zote za maisha
Huwa inaumiza mnoo [emoji22]Unachukulia poa, akisepa unabaki,, "aah damn, she was perfect in many ways!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu lazima kila mtu imemtokeaUkweli kabisa na akiondoka hakuna uwezekano wa kurudi so painfully unaumia ndani kwa ndani.
😂😂😂Ndiyo basi tena..ni mwendo wa kusonga mbele kama injili.
Daah dada 😂😂😂Ndiyo basi tena..ni mwendo wa kusonga mbele kama injili.
Kama umeme wa TanescoKuna mahusiano mengine ni kama marejesho bank,yakiisha na kunenepa unanenepa!
PamojaIko mambo
InterestingPindi ukimpenda mtu[emoji3059] kweli.... UMRI, UZITO, UREFU na UMBALI zinabaki kuwa namba tu. [emoji847]
#lovesomeonechallenge
@middotz_ [emoji1600]View attachment 2456680
Bora ww Demu mimi wife kabisa ,kuyumba kidogo kalipuka kasepa na vitu vyoteMademu walioniacha kipindi nimesota leo hii wanajuta Sana kunipoteza maana siku hizi mambo Ni nyweee😂