Watu wengine, bia mbili tu aibu

Mbona kama anataka kufanana na yule mama yetu yule.......
 
Vichwa vingine hata bia moja shida. Simshangai.
 
yategemea kama zimachanganywa na viroba sita unategemea nini !!
 
Kuna mwanangu mmoja tukienda kupiga masanga tunamkimbia, manaake yeye anamimina haraka haraka dakika 10 gari lishawaka vibaya.
 
Kuna mwanangu mmoja tukienda kupiga masanga tunamkimbia, manaake yeye anamimina haraka haraka dakika 10 gari lishawaka vibaya.

Wako wengi wa hivyo mkuu , baada ya hapo ni kichina kwenda mbele.
 
Wako wengi wa hivyo mkuu , baada ya hapo ni kichina kwenda mbele.

Huyu mjomba yeye anakuwa kichaa kabisa, halafu anakuwa na energy sijui inatoka wapi na ukimuuliza kesho hakumbuki hata moja tena anakuwa mpole utamuonea huruma.
 
Hawavumi kumbe wamoooeee! Ktu rooo
 
Daaahh balaa hii Kugambeka si mchezo,Kwa hali hii kwanini wenzako wasikukane na kukukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…