Mkuu Uliwahi kulima hata mchicha?Hellow wana JF.
Ukitazama kwa umakini katika hii Dunia ya sasa watu wengi wanakula ila hawalimi. Hata wasomi wengi walio somea kilimo wanataka kukaa maofisini kwenye kiyoyozi na feni zenye upepo mzuri hawataki kabisa kujihusisha na kilimo.
Ukizunguka kwenye mashule na mavyuo mbalimbali ulimwenguni katika wakufunzi milioni moja ni wakufunzi wachache sana watakao kuwa wanawaza kufanya kilimo(katika hiyo milioni moja wanaweza kujitokeza wakufunzi 10 au 20 watakao kuwa wana penda/mpango wa kufanya kilimo 10 au 20 tu) walio bakia wote watakuwa wanawaza kukaa maofisini kuchezea kompyuta na ajira nyingine ila sio kufanya kilimo.
Kila siku asubuhi watu wanahitaji heavy breakfast, kila mchana watu wanahitaji lunch, kila usiku watu wanahitaji dinner and yet hawataki kulima kabisa.
However katika mipango yako ya kila siku jaribu kulitazama hili la kilimo, Aise kilimo chenye tija kamwe hakita kutupa kwani Demand yake ni kubwa mno mno na Demand yake haitakuja kuisha zaidi ya kuongezeka siku mpaka siku.
Kuongezeka kwake ni kwasababu watu wengi wanakula ila hawalimi na hawana mpango wakulima kabisa.
kinachokusaidia upate chakula ndio kilimo chako gentleman 🐒Hellow wana JF.

Unalima nini mkuu?Ndiyo mkuu nalima mpaka sasa.
Mkuu si zungumzii professional za ujira nazungumzia kilimo(agriculture).kinachokusaidia upate chakula ndio kilimo chako gentleman 🐒
ok.🐒Mkuu si zungumzii professional za ujira nazungumzia kilimo(agriculture).
Ajira yako inakupa chakula ndiyo ila mimi nazungumzia kilimo hatakama unapata chakula kwenye ajira.
Na mtaji pia uwenaoFursa hiyo mkuu.
Pesa ipo huku.
Danganya toto nenda kalime uone mziki wakeHowever katika mipango yako ya kila siku jaribu kulitazama hili la kilimo, Aise kilimo chenye tija kamwe hakita kutupa kwani Demand yake ni kubwa mno mno na Demand yake haitakuja kuisha zaidi ya kuongezeka siku mpaka siku.
Sawa mkuu ungetupa ushuhuda kulingana na hayo mazao unayolima mfano mahindi,Viazi,Alizeti,Mpunga soko lipoje tulimeje kwa tija.Viazi.
Mahindi.
Alizete.
Mpunga.
Mchichi nina viunga vya mbogamboga.
Nikweli Mkuu.Na mtaji pia uwenao
Mimi nina-lima mkuu na sometime kuto kupata kupo kama ilivyo kwenye harakati zako nyingine za kila siku. Sio kwamba kila siku unapata ingawa sio kwa hasara kama hiyo uliyo itolea wewe mfano.Danganya toto nenda kalime uone mziki wake
Unatumia gharama 1M kukoma mahindi Ukivuna hata Laki tano haIfiki. Hapo hujawek gharama zako za workforce
Hahaha Mimi mwenyewe Niko field mkuuMimi nina-lima mkuu na sometime kuto kupata kupo kama ilivyo kwenye harakati zako nyingine za kila siku. Sio kwamba kila siku unapata ingawa sio kwa hasara kama hiyo uliyo itolea wewe mfano.
Ukiona umelima kwa gharama za 1M alafu wewe ukaja kupata laki tano baada ya mavuno kama unavyo sema, Basi wewe haujui chochote kuhusu kilimo ulifuata mkumbo tu so achana na kilimo kafanye mambo mengine.
Mkuu soko linakuwa tofauti tofauti kila msimu inatemegemea upo upande gani wa kilimo.Sawa mkuu ungetupa ushuhuda kulingana na hayo mazao unayolima mfano mahindi,Viazi,Alizeti,Mpunga soko lipoje tulimeje kwa tija.
Yeap ni sawa nilitegemea kama mhusika kabisa ambae upo kwenye field ya agriculture, basi pale juu kwenye uzi wako ungegusiagusia harakati zako za shamba tupate ABC ili kama gap lipo kila anayevutiwa aangalie eneo lake.Mkuu soko linakuwa tofauti tofauti kila msimu inatemegemea upo upande gani wa kilimo.
Pia soko halipimwi kwa mimi kuliandika hapa bali soko linaendeshwa field so kama kweli unahitaji kufanya kilimo chagua mazao unayohitaji kulima then ingia field kafanye research utapata majibu mazuri sana.
Nimekuelewa mkuu siku nikipata muda nitafanya hivyo. Maana maelezo yatakuwa marefu sana.Yeap ni sawa nilitegemea kama mhusika kabisa ambae upo kwenye field ya agriculture, basi pale juu kwenye uzi wako ungegusiagusia harakati zako za shamba tupate ABC ili kama gap lipo kila anayevutiwa aangalie eneo lake.