Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,618
- 18,557
Unadhan population yote ya sasa itaenda motoni. Wema bado tupo
hahahahaUnadhan population yote ya sasa itaenda motoni. Wema bado tupo
Hahaha kwa akili zake yule unadhan anaweza toa msaada? Mwanamke mtata sana yule😝😝😝Faiza foxy huyoo
Anaweza ndio,si anapata thawabuHahaha kwa akili zake yule unadhan anaweza toa msaada? Mwanamke mtata sana yule[emoji13][emoji13][emoji13]
Wabaya ni wengi....Mahali ulipo hasa kimafanikio ni lazima kuwe na "stepping stone " kuna mahali umesimamia ili ikafika ilipo . Kwa maneno mengine kuna mtu alikuwezesha kufika hapo ama kimawazo kifedha au kwa njia yoyote ile . Ila watu wema ni wachache ndio maana hata mtu mwenye matatizo kuna mtu aliyesababisha hayo matatizo . Survival for the fittest ndio ulimwengu wa leo
Yuko wapi?Faiza foxy huyoo