Watu wawili washambuliwa na kuporwa Gymkhana kwa mapanga

mkuu pdiddy umeajiri secretary akuandikie au?? huu sio mwandiko wako kabisaa
 
Nina wasiwasi ww Pdidy ni mmoja wa vibaka wa pale Barack Obama Drive, haiwezekani juzi umeshuhudia mtu anaporwa eneo hilo hilo na leo tena umeshuhudia???

Noooo lazima uisadie police bwana!

ha ha haa..ni koro maeneo Yale.. ila mkuu lile eneo si mchezo usipite pale giza likiingia mzee wa trillion 4 analijua vizuri.
 
Last edited by a moderator:
nimefuatilia uzi huu karibia kila comment hakuna sehemu ambayo pdidy kakanusha kuhusishwa kwake na wizi,nami naungana na wengine kuwa pdidy ni kibaka na jambazi mzoefu huko dar,haiwezekani matukio yote ya wizi dar na ujambazi ni pdidy tu ndo anakuja na updates za haraka,dar ilivyo kubwa analeta habari ya tukio lililojiri dk 32 tu na si mara moja kufanya hivyo,inasemekana hata kale ka SMalL PDidy ni kadogo kake na huyu jamaa na kalikatwa mapanga kwenye wizi hakana mikono na huwa kanaandikia miguu ndo maana kana mwandiko mbaya sana.
 
Aisee hata mm naamini hivyo, hivi vijamaa viwili ni vibaka.
Kale ka-Small siku hizi hakapatikani sana humu labda kanauguza majeraha:confused:

Kama ni wao vibaka wa pale beach ya Barack Obama Drive basi walaaniwe maana walivunja kioo cha gari langu kwa jiwe???
 
pole sana mkuu,pdidy ni jambazi na kibaka kabisa,na ndo maisha yake atakuja kufa kifo kibaya sana.
 
Pdidy sihokibakabali ninjiha yakeeanapitagaaki tokaofisinkwani anafanyakazi mjininafoleni anakwepa!!
 
Last edited by a moderator:
Wakiwa machinga wanadhulumiwa na jiji
Viwanda vimekufa
Wakitaka kutoka je
passport wananyimwa
wakitoka jkt wana achwa wazagae.
Eboo!!
 
Matukio mengi ya ujambazi yanayotokea Dar, pididy unakuwa wa kwanza kureport!!
Usihofu Deo!!kila jambo nawakati wake pengine we mhudhuriaji sana was here he usizotoamchango!!kila MTU anakipajichake
 
Pdidy sihokibakabali ninjiha yakeeanapitagaaki tokaofisinkwani anafanyakazi mjininafoleni anakwepa!!
Wanatakakunichunguza kamaniko ikulu mini??hahaa waambie hiyo ndionjiayangu yamazoezi bans shark wasihofu!!kwani polisi!!vibaka awatuhusiwi kujiunga jf!! Embunaomba details za Mo11. Tumpitishe usikukule,,,,,
 
Aisee hata mm naamini hivyo, hivi vijamaa viwili ni vibaka.
Kale ka-Small siku hizi hakapatikani sana humu labda kanauguza majeraha:confused:

Kama ni wao vibaka wa pale beach ya Barack Obama Drive basi walaaniwe maana walivunja kioo cha gari langu kwa jiwe???
Ntarudi badae!!cc matola
Shark
 
Hao akina Matola na Shark ndio unakuwa nao huko???

Mkirudi hiyo baadae mnakuja kulipa kioo changu:sly:

Ha ha ha ha jombaa woga wako tu wala hua hatupo pande hzo ni just hua tunapenda zungukia vitaa vya town so inshu kama hzo hua tunakutana nazo sana. Kwa mfano ukitaka inshu yoyote ya uwanja wa ndege u jus check with Informer
 
mpwa usirudi kumjibu utapoteza muda ,,tatizo kufika mjini kwao ni wakati wakazi awajui watu wanaenda usiku for dinner,mazoezi gymkhana sijui kama anaifahamu ilipo ..Mungu amsaidie

msiogope jamani unaweza kutoa hata wanao dinner serena sio gali kama unavyoofikiri,,wakiwawanakunywa unaweza fanya mazoezi kuona he hivi kituo cha posta usiku kinakuwaje kama fujo za mabasi akuna,,,na mengineyo ,,usihofu bugibire sisi ni wajasiriamali waajiriwa ukiteseka sana lazima uenjo na wanao ,,na mudawenyewe ndio huo usiku mkuu..otherwise nipe namba yako nikiwa town tuchekiane ,,,uone kama unaavunjiwa gari na mtu wa aina gani ,,jtano,jmosi na ijumaa kama leo niko gymkhana ..kpntouch
 
Back
Top Bottom