Watu wawili washambuliwa na kuporwa Gymkhana kwa mapanga

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Pengine hii ni endelevu ya yaliotokea majuzi

32 Mins ago watu wawili wamewapora mtu na nduguye maeneo ya Gymkhana wakitokea kwenye mazoezi!

Watu hawa wamewapora pikipiki pamoja na mabegi mawili yakiwa na laptop!

Ombi:
Nina huzuni kubwa matukiohaya yanatokea Jirani na kituo cha polisi Dk 5. Kuingia ikulu ya Tanzania. Nani anaweza amini hawa najiuliza. Sipati Picha!

Wiki iliopita kaibiwa muuza sigara na karanga, sio ubimadamu jamani!

Embu serikali wekeni ulinzi!!!

Cc!!! Renald shelukindo
 
Mkuu hiyo njia ni hatari sana hata ukiwa na usafiri wako inapofika mida ya saa moja usisimame hovyo maeneo hayo ya gymkhana, ocean road si salama tena mda mwingine wanatuma watoto wanakaa hadi barabarani
 
This is danger; ndio maana siku hizi Ikulu kuna ulinzo mzito, jamaa wa Tiss wanazunguka ukuta wa Ikulu wakiwa full combat na SMG zikiwa on guard.
 
Mkuu huomuda wakuoigapicha ungenikuta humu??embunisitiri namaswaliyanguoni
 
Funguafb it's Ronald baraka shelukindo atakupa picha halisi
 
Mkuu hiyo njia ni hatari sana hata ukiwa na usafiri wako inapofika mida ya saa moja usisimame hovyo maeneo hayo ya gymkhana, ocean road si salama tena mda mwingine wanatuma watoto wanakaa hadi barabarani
Yesu nagongawoteee uwiiii
 
Nina wasiwasi ww Pdidy ni mmoja wa vibaka wa pale Barack Obama Drive, haiwezekani juzi umeshuhudia mtu anaporwa eneo hilo hilo na leo tena umeshuhudia???

Noooo lazima uisadie police bwana!
 
Last edited by a moderator:
Out of curiosity....... kila haya matukio yakitokea....... pdidy unakuwa either karibu au umepita hapo! Dah
 
Nina wasiwasi ww Pdidy ni mmoja wa vibaka wa pale Barack Obama Drive, haiwezekani juzi umeshuhudia mtu anaporwa eneo hilo hilo na leo tena umeshuhudia???

Noooo lazima uisadie police bwana!

kawaida yake kama sio kibaka atakua askari polisi niamini mimi
 
Last edited by a moderator:
Polisi waliokuwa wanapiga kambi hapo gymkhana kwanini wametoka hapo?
 
Out of curiosity....... kila haya matukio yakitokea....... pdidy unakuwa either karibu au umepita hapo! Dah

Nina wasiwasi ww Pdidy ni mmoja wa vibaka wa pale Barack Obama Drive, haiwezekani juzi umeshuhudia mtu anaporwa eneo hilo hilo na leo tena umeshuhudia???

Noooo lazima uisadie police bwana!

Pdidy ni mtoto wa Mangu.
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi ww Pdidy ni mmoja wa vibaka wa pale Barack Obama Drive, haiwezekani juzi umeshuhudia mtu anaporwa eneo hilo hilo na leo tena umeshuhudia???

Noooo lazima uisadie police bwana!

Alikua lindo pande hizo ingawa muda mwingi road lake no bamaga
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom