Watu watatu wanashikiliwa mkoani Songwe kwa biashara ya uuzaji wa Meno ya tembo

RECEIPT

JF-Expert Member
Nov 6, 2013
284
198
Watu watatu wanashikiliwa mkoani Songwe kwa biashara ya uuzaji wa Meno ya tembo. Akizungumza na vyombo vya habari mkoani Songwe mkuu wa Polisi Mkoani Songwe amesema wanaoshikiliwa ni Mfanyabiashara Juma Mtafya wa Itumba Ileje, Joji Mwampashi wa Itumba Ileje na Raia mmoja wa Malawi.

Mkuu wa Polisi mkoani Songwe amesema watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya taarifa ya raia mwema. Amesema wamekamatwa na meno 17 yenye uzito wa kg 32 ambayo thamani yake inakadiriwa kufikia zaidi ya milioni 30 ijapo wataalam hawajadhibitisha.
IMG_5294.JPG
 
Back
Top Bottom