Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Watu takribani watatu wamepoteza maisha kufuatia mvua kubwa zinazonyesha wilayani Kyela mkoani Mbeya.
Pamoja na vifo vinavyosadikiwa kutokea, wakazi wilayani humo pia wanasema hali ni mbaya zaidi kwani licha ya mawasiliano ya barabara kukatika pia baadhi ya familia zimekosa mahali pa kuishi na kulazimika kukimbilia kwenye majengo ya huduma za kijamii yakiwemo makanisa.