Kuna watu jamani wamezidi.Especially hizi nchi za nje tunazoishi. Utakuta mtu anamsema mwenziwe kisa anafanya kazi ya vizee.kwani si anafanya yeye, wewe imekuhusu nini. Ati mie hata nipewe bure kazi ile siifanyi. Ukitizama kazi yake kuzaa na kupikia bwana. Simu nyingi kusemana tunatakiwa tujipange kwani huyo anozoa mavi mbona anamaendeleo maana kaja ulaya kutafuta.kanunua nyumba ulaya hadi kwao. Wadau nyie mnaonaje na hawa madomo kaya ukitizama wanapindwa viwandani wengine na pesa yenyewe ya kawaida tu au ndio wivu