Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,589
- 6,463
Mkuu,hiyo imeandikwa ktk kitabu gani ktk biblia ili nisome leo!Katika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli zinakujaga mkisha vutana mashati biblia inasema mtu mwenye akili huona mabaya na kujificha
Mkuu,hiyo imeandikwa ktk kitabu gani ktk biblia ili nisome leo!
Washenzi wakoje mkuu?
Hiyo ni busara ya MUNGU na biblia ina sema kuna hekima ya MUNGU na hekima ya kibinadamu na YESU alisema wana wa dunia hii wana hekima katika mambo yao wenyewe .Katika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli zinakujaga mkisha vutana mashati biblia inasema mtu mwenye akili huona mabaya na kujificha
Mkuu,hiyo imeandkwa ktk kitabu gani ili nikasome?Katika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli zinakujaga mkisha vutana mashati biblia inasema mtu mwenye akili huona mabaya na kujificha
Hiyo ni busara ya MUNGU na biblia ina sema kuna hekima ya MUNGU na hekima ya kibinadamu na YESU alisema wana wa dunia hii wana hekima katika mambo yao wenyewe .
Najua umetushauri wale tunaopenda hekima ya MUNGU wale wa dunia watafata utaratibu wao wa kumaindiana tu ndio wanaouelewa.
Amina. Naww pia!Amina mtumishi... ubarikiwe
Maneno KUNTU haya, tukiyazingatia haya ugomvi utapungua sana. Asante sanaKatika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli zinakujaga mkisha vutana mashati biblia inasema mtu mwenye akili huona mabaya na kujificha
UbarikiweManeno KUNTU haya, tukiyazingatia haya ugomvi utapungua sana. Asante sana
Umeongea madini matupu mtoa uzi hasa ulipowataja kina bro...Ukihusianisha na watu washenzi.Maana hata humu kutwa kina Bro wanatusakama Dada zao.Mara tuna roho mbaya kwenye daladala, sijui single mother Mara tunauza naniliu. KWANIABA YA WENZANGU NASEMA KUWA UZI WA KUTUCHOKOZA TUTAUPUUZA KUKWEPA KINA BRO..