Watu wanapokwama

Watu wanapokwama

Shauri pande zote staha ziwe pande zote.Ulaya serikali inawaheshimu RAIA wake na RAIA wanaiheshimu serikali yao.Umeelewa!!
Kuna lundo la malalamiko Rais hashauriki, hasikilizi hoja za wapinzani. Lazima mtambue kuwa Rais anapokuwa Rais anakuwa ana ajenda yake ndio maana anazunguka nchi zima kuuza ajenda zake na wanachi wakizikubali ajenda zake ndio wanampigia kura kumpa ridhaa ya kutimiza ajenda zake.

JPM kazunguka nchi nzima kunadi ajenda zake, wanachi wamempa ridhaa, mtu anaibuka huko analazimisha rais apokee ushauri wake ambao uko nje kabisa ya yale aliyonadi kwetu. Rais akipokea huo ushauri/utekelezaji wake sisi tutamjia juu maana sio alivyotuahidi. Elewa kuwa huu ndio msingi mkubwa wa taasisi ya Urais.

Ukiacha hilo Rais anaweza kwa hiari yake kupokea mambo yenu sawa anajua atakavyomalizana na wananchi wake. Sasa ndugu yangu kama una jambo kwa Rais basi jitahidi uwe mstaarabu namna ya kupeleka hilo jambo. Unatumia lugha za kebehi, madharau na kuponda halafu unategemea rais awe na furaha na ushauri wako.

Nakuona kwenye mitandao unarusha vijembe, una like mawazo ya kumtusi na kumdhalilisha Rais halafu kesho unasimama mahali unasema Rais hatusikilizi. Kuna mbunge mmoja nimeona ameandika sijui jiwe sijui ''kichaa'' wala kesho ukatize anga zangu nikuache kweli?

Rais ni taasisi lakini yenye watu ndani yake wenye hisia, maumivu kama tulivyo. Kibinadamu ni ngumu sana kuwa na furaha na mtu ambaye kila siku anatukana, anakuona mjinga na hufai. Basi niache niendeshe mambo vile nilivyokubaliana na wananchi, unanipaje ushauri mimi ambaye ni ''jiwe'' au kichaa. Ninajua haya wote tunafahamu Rais aliyatamka maneno haya katika mintarafu ipi ila kwa kwa vile tumeyaamua kayageuza maana aliyomanisha basi acha tuendelee kujifurahisha nayo si ndo tunapata nafuu ya kisaikolojia.

Kama mtu mzima nawashauri wale wenye nafasi ya majukwaa ya kuwasiliana na wananchi tumieni lugha ya staha, isiyo na maudhi na yenye mantiki katika kutoa ushauri au kukosoa pale mambo yasipoenda sawa lugha za ku belittle madaraka na uwezo wa serikali hazijengi.
 
Ukiwa na ngozi nyepesi ubaba wa familia haukufai.mtoto akikukojolea utamtupa?
 
Pumbavu na Lofa wewe(ref. Mkapa)

Nchi sio ya Rais!
 
Labda tubadili mfumo wa uongozi aina ya muundo tutakaowapa dhamana watuongoze, huu muundo uitwao uraisi sahau kuhusu maendeleo, umefail Africa nzima wafaa ulaya na USA Nchi Inatakiwa iongozwe na watu sio MTU.
Tatizo we dont have VISION as a nation, ndo maana kila mtu anakuja na ajenda zake. Ilitakiwa rais aje na only mission lakini Vision izikute!
 
Basi niache niendeshe mambo vile nilivyokubaliana na wananchi, unanipaje ushauri mimi ambaye ni ''jiwe'' au kichaa.

wewe ndio Jiwe mwenyewe nini?
Na kama ndio wewe, ushike adabu yako uache kuendesha nchi kama baa ya mbege.
 
Hapana ndugu yangu, mimi siye wala sistahili kulegeza gidamu za viatu vyake, yeye ni yule awezaye kutubatiza kwa moto mimi uwezo wangu ni ubatizo wa maji tu.

Uniwe radhi nilipitiwa kuweka alama za kunukuu hayo maneno.
 
Hamna noma, we mfikishie tu vilio vyetu!
Amechukua nchi yetu nzuri halafu akaiweka juu ya mawe.
 
Back
Top Bottom