We upo mawenzi tbt afu unamfanya mwenzio aende tank bovu nimepishana naye kwa maafande yuko speed,
akifika utamwambia ageuze,acheni utani jamani watu wpo serious.
Utafiti unaonyesha wanawake wengi wanapopata wapenzi wapya wanatamani wawe mtu mwenye kujua maufundi na sio learner au new comer hivyohivyo wanaume wanapenda wanawake wazoefu na sio bikra.sasa sisi tuliojitunza tukioa si tutachapiwa