kudra hamidu
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 152
- 107
Kumezuka tabia za mabloga uchwala hapa bongo kutumia picha za ngono kwenye mitandao ya kijamii ili kujiongezea followers kwenye hiyo miblog yao uchwala. Na bora ufungue uone vitu vya maana,ushudu mtupu.
Sio siri wanaboa sana.Unakuta umekaa na watu wenye heshima halafu ghafla wanaona unaangalia picha za utupu!Fedheha kubwa sana.Kwani hakuna njia zingine za kuvutia watu wasome blog zetu?Tatizo hamtaki kuwekeza kwenye matangazo angali mnataka pesa. Kumbukeni formula ya pesa iko hivi.PESA HUNUNUA PESA.
Mnaboa sana.