Watu wanaongoza kutokuwa na amani/furaha

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,472
Reaction score
2,767
Watu Wanaoongoza Kukosa Amani

1. Wanasiasa
Hasa wale wa upinzani, mara nyingi hukosa amani katika nchi nyingi za Afrika na zile zinazoongozwa kwa misingi ya kidikteta. Wanakumbwa na ukandamizaji, vitisho, na hata vifungo kwa sababu ya msimamo wao wa kisiasa.

2. Wakosoaji wa Serikali
Watu wanaothubutu kuikosoa serikali – waandishi wa habari, wanaharakati, au raia wa kawaida – nao hukumbwa na madhila mengi. Hii ni pamoja na kunyimwa uhuru wa kuzungumza, kushambuliwa, au hata kutoweka katika mazingira ya kutatanisha.

3. Jamii zenye Undugu na Uyahudi
Kuna jamii ambazo kutokana na undugu wao wa damu au historia na Uyahudi, hukumbwa na changamoto za kiusalama. Baadhi ya mataifa hata zimewapiga marufuku kabisa, hali inayowafanya kuishi bila uhakika wa amani.

Chanzo cha utafiti: Niamini bro.
 
Sidhani kama utakuwa sahihi
 
Uzi wa kijingajinga.Unataka duniani ukae umerelax kama maiti?Dunia ni hekaheka tu.Haya,swali rahisi; Kinyume cha hao uliowaorodhesha, wenyewe wana furaha kamili?
 
Ila ujinga ni relative ndugu. Ndiyo maana waswahili wakatambua nyani kuona kundule labda anunue kioo!
 
Back
Top Bottom