Watu wanaojiamini kupitiliza

Wala mapupu na ngozi wanajiamini kupilitiliza aisee
 
That,s it✌️
 
ukiona mtu anaendesha kwa kasi barabarani na bila kujali alama za barabarani (sio kwamba huyo anajiamini)...bali ana nyoto ya bodaboda.
 
Tuliwahi pata ajali pale njia panda maeneo ya jamhuri karibu na kituo cha redio dodoma pale tukiwa kwenye harrier ngoma sita au saba night kali . Sasa pale
jamaa akataka kuunga muda huo tumetoka area d tunaelekea home maeneo ya mbwanga nje ya mji kidogo. Kulikua na kichanja single imebeba container imesimama inasubiri green light ,sasa huyu mshenzi alekuwa anaendesha yuko tungi kapiga magrants af na usingizi juu akataka kuunga. Hamadi ist nyeupe mbele yetu imeiva inakuja uelekeo wetu, jamaa akaona kuliko kuvaana uso kw uso , ikabidi aivae ile kichanja kwa nyuma. Tukapigiza pale kwa nyuma kwenye plate number. Kilichosaidia ile kichanja pale nyuma ilikuwa na kama ina kinga au ngao fulani ya chuma. ile bonet ya harrier ikakita pale , pangekuwa wazi pale nyuma tulikuwa tunapitiliza na kukusanywa kwenye zile tairi tatu za nyuma. Nilikuwa nimekaa siti za nyuma tupo watatu nilibamiza pua kwenye ile siti ya mbele upande wa dereva ila thanks God hakukuwa na seriuz injuries. mshenzi hata kutuongelesha kujua hali zetu hakuna. kilichofuata hapo baada ya wenge kuisha tukakodi bajaji tukaenda home tukamwacha huko nyuma na ma trafic. nasikitika kusema baada ya hili tukio miezi 2 mbele aligonga watu wa nne wa familia moja wa 3 ni rip mmoja amekuwa na kilema cha kudumu.
 
Lete mifano mizuri ya kujiamini. Tofautisha kujiamini ña kuwa rough. Huo mfano wako ni WA mtu kuwa rough
 
Aiseee, aligonga kwenye mazingira yapi tena
 
Mmeruuuu hukuwa na panga uwafanye
Hamna??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…