Kujiamini kupitiliza mnakupima kwa kutumia kifaa gani? Je nitafahamu vp kuwa ninajiamini kupitiliza?Kuna Baadhi ya Kazi mtu akifanya au Wazifa Fulani mtu akifikia ktk Maisha huwa wanaojiamini Kupitiliza, Kuna Rafiki Yangu kwa Sasa Ni Marehemu Huyo rafiki Yangu Alikua anajiamini Kupitiliza.
Ila Leo Tena nimekutana na ndugu Yangu nae ana hizo Element za kujiamini Kupitiliza.
Nimepanda kwenye Gari yake, Hizo speed na Rafu za Barabarani yaani mpaka nikaona Hapa nimeweka Maisha Yangu reheani maana chochote Kinaweza kutokea pia Gari halitambui cheo Wala Wazifa wa mtu.
Daaa Jamaaa anajiamini Kupitiliza mpaka kwenye Chombo Cha Moto.
Imebidi nimdanganye nishuke kwenye Gari yake nimuache aende...
Nipo kwenye Daladala Narudi Home Mdogo Mdogo.
Nilichokiona hizi kazi na Wazifa vinawapa watu kujiamini Kupitiliza.Kuna mjeda mmoja nae ana pigo hizo yaaan anaona kabisa hapa si salama kwa kupita yy anafosi kisa mjeda.Ukipanda kigari chake cha mkopo yaan unaweza kujilaumu kwa nn nilipanda humu.Ukimsema anaanza kusema makosa sio yake ila umeona kabisa yy anafosi kua overtake sehem si salama.
[emoji38][emoji38][emoji38]Ungeniambia tu mwana,kushuka sio Sababu so ulitaka nikafe alone au
Hii tabia IPO siku utatolewa lindaMi ndo miongoni mwa wanaojiamini kupitiliza juzi nilimkosa muendesha baiskeli kwasababu anaendesha baiskeli haina taa alafu akaanza kunikoromea nikamfata kutaka kumtandika japokua ni mtu mzima kuliko mimi na nisingemuweza ila alivyoona namfata kwa kujiamini akaanza kuongea sauti ya chini kwa kuingia uoga nikaondoka zangu.
Siyo mara moja kuna siku nilipiga mkwara watu watatu na wakatulia.
Dah tukafungulie swaumu mwanangu LuchaMi ndo miongoni mwa wanaojiamini kupitiliza juzi nilimkosa muendesha baiskeli kwasababu anaendesha baiskeli haina taa alafu akaanza kunikoromea nikamfata kutaka kumtandika japokua ni mtu mzima kuliko mimi na nisingemuweza ila alivyoona namfata kwa kujiamini akaanza kuongea sauti ya chini kwa kuingia uoga nikaondoka zangu.
Siyo mara moja kuna siku nilipiga mkwara watu watatu na wakatulia.
Nikikutana na pimbi kama wewe lazima nikutembezee kichapoHii tabia IPO siku utatolewa linda
Watu sample Yako tunawaona kibao tu mtaani Kila siku wanavunjiwa naziNikikutana na pimbi kama wewe lazima nikutembezee kichapo