mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
Ndugu wanabodi naomba nimuambie ndugu January Makamba kutokana na kujiaminisha kuwa CCM kwa sasa imeanza kupumua kutokana na utendaji wa Rais Magufuli.
Mimi nikiwa kama mwananchi wa kawaida na muumini wa UKAWA namwambia pasna shaka kuwa huku mitaani watu sio wameanza kuipenda CCM baada kupoteza mvuto la hasha kwa sasa wananchi wanachokiamini na kukikubali ni utendaji wake na Magufuli kama alivyo lakini chama kama chama cha mapinduzi bado sana maana ni kuwa hata hao waliojifanya wana CCM kindaki ndaki wapo wapi leo kumpongeza Rais wetu Magufuli mtu wa watu ?
Hembu tuacheni unafiki utawala uliokuwepo ulikuwa chini ya CCM hata kama walikuwa wakifuata sheria kwanini hawakuyafanya haya anayoyafanya leo Dr Magufuli? UKWELI utabaki kuwa ukweli watu wanampenda Magufuli kama Magufuli na serikali yake atakayoiamini na kuiunda serikali kwanza CCM baadae.