Watu wanaenda mbele Hawarudi nyuma

Miaka 23 tu ila maendeleo si mchezo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nawaonea huruma maana kwa miaka kama ishirini na Tano hivi, wamefika hapo walipofika, ikifika miaka 50, maeneo yote yatakuwa ni majengo tupu, uoto wa asili kwishney, Hahahahahh! Naipenda Tanganyika yangu! Japo nayo mhhhh!
 
kweli kimaono yako lakini ni bora kuondoa jangwa na kubaki na eneo zuri linaloeleweka.
 
TANZANIA tunatoka mbele tunarudi NYUMA. naipenda nchi yangu :hurt::hurt::blah::blah::blah::blah:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…