Watu wamezikataa siasa za kitapeli

Watu wamezikataa siasa za kitapeli

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,652
Reaction score
2,696
Wenzetu wa CHADEMA mnakesha mitandaoni daily kumbe mnategemea mle kwa njia ya kutapeli watu maskin kupitia donation za kitapeli hii ni aibu.

Halafu nimeshangaa kuona chadema wanajiita baba wa Gen z (panyaroad) huku uchangishaji wao wa kitapeli ukidolola, washindia mil 10 kwa saa 24 hii inamaana kwamba watu wamekataa siasa za kitapeli siasa za kutegemea kulishwa kwa donation za kitapeli. Unaweza kuona hata hiyo mil. 10 haipo ni uongo tu.

My take: Siasa siyo shamba la kulishia familia yako tafuta kazi mubadala ya kujiingizia hela, hzo hela za donation ni sawa na Hela za rambirambi zimejaa laana tu.

WATANZANIA KATAENI UTAPELI WA VIONGOZI WA CHADEMA ACHENI KUWACHANGIA.
 
Waache na maisha yao.ndo uwezo wao huo.ila udhalimu hawataki
 
hii mada umeiposti saa ngapi? halafu unadai wengine hawalali? ...
 
Back
Top Bottom