Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 722
Huyu mheshimiwa ni mjanja sana, anaelewa vizuri kuwa watu wanateseka sana na maisha.Amefukuza wafanyakazi kwa kile alichokibatiza kama vyeti feki,ili amudu kulipa mishahara.Lakini amekumbwa na tatizo lingine la upungufu wa hao wafanyakazi tena.
Mama mmoja aliyekuwa nurse alijuta alipoliona jina lake liko kwenye wafanyakazi hewa,huku akiwa niwale walivaa vilemba na t-shirt za kampeni za CCM numbari one.
Akalia akisema laiti ninge jua nashabikia kufukuzwa kazi kwangu nisinge jisumbua.Sasa hata huku kupumua hawezi kuona.
Baadhi ya maeneo ninayo ya fahamu zahanati ilibidi kufungwa kufuati watumishi hewa.Yote maisha