SNAP J JF-Expert Member Dec 26, 2013 7,079 7,976 Mar 2, 2019 #2 Ukisikia sisimizi kabeba tembo ndii hii. Sent using Jamii Forums mobile app
kichomiz JF-Expert Member Feb 28, 2011 19,013 11,950 Mar 2, 2019 #3 Bangi ikipikwa kama mboga huwa inaleta matokeo kama hayo, kuna muda unaweza tamani uweke miguu mfukoni
Bangi ikipikwa kama mboga huwa inaleta matokeo kama hayo, kuna muda unaweza tamani uweke miguu mfukoni
princemikazo JF-Expert Member Jan 10, 2019 2,197 2,052 Mar 2, 2019 #4 Iyo baiskeli nayo kwa akili zake imekaa tu inaamini itaenda kweli??.Fcuk dat bike.