Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
-
- #21
Hahahahaha,,,mbona mi nanyonywa lakin hababuki banaSasa kama hivi ni vipimo vyako (kubabuka kwa mdomo) basi na 50Cent ni mwathirika. Mimi huwa nahisi ni sababu ya unyonyaji K uliovuka mipaka
Kwa hiyo umekubaliana na mimi kuwa K zinafanya mdomo kuwa mwekundu?50 hajababuka mdomo wake ni mwekundu,,tofautisha kubabuka ,mfano kuna watu wana lips za pink
HahahaaaaHUNA HOJA NENDA KANYONYESHE
acha dharau unadhani kuna anayependa hali hiyoHivi inakuwaje watu wanababuka midomo?yaani midomo inakuwa na wekundu hivi kama kaunguzwa moto,,halaf nimechunguza nikagundua watu walioathirika na HIv wengi wao wamebabuka midomo sijui ni kwaajili ya dawa zao wanazomeza,,kuna sehemu nimekuja hapa yaan watu nnaowafaham afya zimezorota ,ngozi zao hazing'ai,,midomo imebabuka,
Pia kuna huyu dada nilimuacha vyema tu mzuri kweli nimemkuta nae midomo imebabuka ,ngozi yake haing'ai kama mwanzo,,
Katika maisha yangu nawaogopa sana watu waliobabuka midomo na ngozi hazing'ai ,,hata unipe nini mwanaume aliebabuka midomo hapana kabisa naonaga kama ni wagonjwa,,maana nishatembelea wodi ya wagonjwa wa HIV wotr midomo yao imebabuka,, (je ninavyohosi ni kweli asilimia ngapi??) Halaf nikimuhisi mtu kaathirika na kweli anakuwa kaathirika kweli nikimuangalia macho yake,ngozi ,,,tumuombe Mola aisee magonjwa haya mabaya sana
Nakumbuka zamani kuna kijana mmoja alikua akinifukuzia ananialika tukale wote mara anitumie pesa,,sasa ile nikitaka kwenda kuonana nae roho inakataa kabisa,, mpaka akaacha kunisumbua,,sasa siku zikapita sijaonana nae nikajua alisafiri ,,kumbe kalazwa hospital ,siku moja naenda kusalimia mgonjwa si nikakutana nae anafanyishwa mazoezi kakondaa midomo imebabuka,,nywele zimekuwa lain halaf zimenyonyoka ,,anatembelea mti ,ngozi imepauka hata ukiipaka mafuta sidhani kama yatashika,, nadhan alitaka hata kukata njia nyingine tusionane lakin hakuweza ,,aisee nilishtuka jamanii,,nikasema kumbe nilikimbia moto,,
Mim huwa najitahidi sana kuchagua aisee na ni vyea zaidi kupima na kutumia kinga,,,pia msifanye sana fanyeni kidogo tu kuepuka michubuo
Mambo yashaharibika oohoo
Najua kuna watu wanaokunywa pombe kali midomo nao hubabuka lakin wengi waliobabuka ni waathirika wa HIV,,,
Lakin cd4 zikishuka tu midomo inababukaAcha hizo tabia za kipuuzi..
Mbona kuna waathirika hawajababuka mdomo..
Usipende mambo ya hisia mimi mwenyewe nahisi wewe si mzima..
Hivi vitu vikiongelewa ni dharauacha dharau unadhani kuna anayependa hali hiyo
Nimeelezea hapo kuwa kuwa pombe kali zinababua midomoAhahaha Mama sabrina unafanya tuanze chunguza watu midomo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema mimi kuna anko angu alikua mtaaratibu saana mambo yake, alikua anababuka sana midomo tukawa tunamuonea huruma kwamba anko ana midomo mibaya sana aseee kumbe anapiga konyagi balaa na alianza kuzipiga shule ya msingi hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimedharau wapi,,mbona unawaza kudharauliwa wewe hayo magonjwa yapo inabidi kuyaepuka na huwezi jua wamepata bahati mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kama hivi ni vipimo vyako (kubabuka kwa mdomo) basi na 50Cent ni mwathirika. Mimi huwa nahisi ni sababu ya unyonyaji K uliovuka mipaka
Mbona Kuna mmoja namjua hanywi pombe lakini amebabuka mdomo.Nimeelezea hapo kuwa kuwa pombe kali zinababua midomo
Hapana nanyanyapaa kwa mema ngono hapana,,mengine tutakuwa poa kabisaKuwa mwoga ni jambo jema...
Lakini unyanyapaa ni jambo baya zaidi.
Heheheh,,unisaidie maana hapa kuna mapovu yanakujaaYaani wewe. Akili zako kama zangu.
Niko hivyo hivyo.