Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Yeye sio msimamizi wa mirathi ila tunachokifanya sisi ni kwamba tunataka tumgawie fungu la pesa kwa niaba ya mama yake aliyefariki ambae ni dada yetu.Uyo mjukuu hana mamlaka na icho kiwanja labda kama ni msimamizi wa mirathi za mama ake ndio anaweza pinga kwa nafasi iyo,bila ivyo hata mia mbovu hastahili
Sijasomea sheria ila mjukuu kwenye mali ya kifamilia hana sauti yoyote na hapaswi kuzungumza lolote hapo ni huruma yenu tuHabari.!
Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.
Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili.
Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja alifariki pia akaacha mtoto mmoja wa kike ambae yupo kidato cha sita. Kila mtoto ana mama yake.
Sasa kiwanja tunakiuza ili kila mmoja apate mgawo wake, sasa changamoto inakuja kwamba huyu mtoto wa dada yetu aliyefariki anapinga kisiuzwe tusubiri mpaka amalize masomo miaka mitano mbele huko.
Sasa je kisheria huyu mjukuu wa baba yetu ana nguvu ya kuzuia sisi tusiuze kiwanja? Maana kiwanja twauza 30m kila mtu atapata 10m. Kisheria imekaaje hii?
mnaweza endelea na mauzo ila yeye hana mamlaka ya kuwazuiaYeye sio msimamizi wa mirathi ila tunachokifanya sisi ni kwamba tunataka tumgawie fungu la pesa kwa niaba ya mama yake aliyefariki ambae ni dada yetu.
JUMA NATURE - UBINADAMU KAZI ..... Ukufikie popote ulipo....Yeye sio msimamizi wa mirathi ila tunachokifanya sisi ni kwamba tunataka tumgawie fungu la pesa kwa niaba ya mama yake aliyefariki ambae ni dada yetu.
Sahihi angepata sauti ikiwa angekuwa amechukua usimamizi wa mirathi za mama ake alie fariki hapo ange pinga kwa nafasi iyo kwa niaba ya mali za mama akeSijasomea sheria ila mjukuu kwenye mali ya kifamilia hana sauti yoyote na hapaswi kuzungumza lolote hapo ni huruma yenu tu
Hii sinario ingekuwa kwenye familia yenu na wew ndiye kaka umebaki na dada yako na huyo mtoto wa dada mngeweza kusikiliza hoja ya kitoto kiasi hicho ?Namuelewa binti kwa niaba yake, nahisi sio kwamba hataki kiwanja kiuzwe sasa hivi, ila nahisi ana hofu na mgao mtakaompa. Ataweza vipi kutunza au kutumia kwa manufaa kulingana na umri wake, ndio maana ameomba baada ya miaka mitano, atakuwa angalau amekomaa kiakili na kufanya maamuzi sahihi.
Kutokana na nia nzuri mlio nayo mmshauri afungue fixed account ili hela yake mmuwekee huko. Lakini pia hujaeleza ikiwa huyo mtoto dadako alimuorodhesha popote kama mrithi wa mali zake na kama ndivyo anaweza kuweka zuio kupitia wosia wa mamake na si wa baba yenu.Habari.!
Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.
Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili.
Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja alifariki pia akaacha mtoto mmoja wa kike ambae yupo kidato cha sita. Kila mtoto ana mama yake.
Sasa kiwanja tunakiuza ili kila mmoja apate mgawo wake, sasa changamoto inakuja kwamba huyu mtoto wa dada yetu aliyefariki anapinga kisiuzwe tusubiri mpaka amalize masomo miaka mitano mbele huko.
Sasa je kisheria huyu mjukuu wa baba yetu ana nguvu ya kuzuia sisi tusiuze kiwanja? Maana kiwanja twauza 30m kila mtu atapata 10m. Kisheria imekaaje hii?
Miaka mitano ni mingi aseeeeee!!!Namuelewa binti kwa niaba yake, nahisi sio kwamba hataki kiwanja kiuzwe sasa hivi, ila nahisi ana hofu na mgao mtakaompa. Ataweza vipi kutunza au kutumia kwa manufaa kulingana na umri wake, ndio maana ameomba baada ya miaka mitano, atakuwa angalau amekomaa kiakili na kufanya maamuzi sahihi.
Nahisi hiki ndo alichomaanisha, maana kama atapata hizo 10M anajua kabisa hana pa kuzipeleka, au labda wao walimuuliza sababu nyengine nje ya hiyo?Namuelewa binti kwa niaba yake, nahisi sio kwamba hataki kiwanja kiuzwe sasa hivi, ila nahisi ana hofu na mgao mtakaompa. Ataweza vipi kutunza au kutumia kwa manufaa kulingana na umri wake, ndio maana ameomba baada ya miaka mitano, atakuwa angalau amekomaa kiakili na kufanya maamuzi sahihi.
Afungue fixed account aweke hiyo pesa kwa miaka 3Namuelewa binti kwa niaba yake, nahisi sio kwamba hataki kiwanja kiuzwe sasa hivi, ila nahisi ana hofu na mgao mtakaompa. Ataweza vipi kutunza au kutumia kwa manufaa kulingana na umri wake, ndio maana ameomba baada ya miaka mitano, atakuwa angalau amekomaa kiakili na kufanya maamuzi sahihi.
Aweke fixed ya hiyo miaka akimaliza atachukua afanye atakachoNahisi hiki ndo alichomaanisha, maana kama atapata hizo 10M anajua kabisa hana pa kuzipeleka, au labda wao walimuuliza sababu nyengine nje ya hiyo?
Hana mamlaka ya kuzuiaYeye sio msimamizi wa mirathi ila tunachokifanya sisi ni kwamba tunataka tumgawie fungu la pesa kwa niaba ya mama yake aliyefariki ambae ni dada yetu.
Maelezo yako pamoja na comments za wadau wote nilizosoma hapo chini, ukiachana na mambo sijui ya kisheria, zipo sawa na ndizo familia mbali mbali hufuata kugawana mirathi.Habari.!