Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Mkuu, mbona unachapika vizuri tuuEti nichapwe fimbo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] iyo noma ntaletaa hawatakaa waamini. Yani ntapasua watu na mawe. Haki naapa tutauana hapo.
Eti nichapwe fimbo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] iyo noma ntaletaa hawatakaa waamini. Yani ntapasua watu na mawe. Haki naapa tutauana hapo.
Mkuu, mbona unachapika vizuri tuu
Hii picha ni ya zamani sana haipungui miaka 3, kila ikiingia ramadhani inaletwa tena. Tukio la picha hii limepitwa na makati. Ni vizuri kutoa habari zilizopo sio zilopitwa na wakati.
Kwa pemba sawa si wote ni Waislam. Mimi naona hamna shida.View attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Siwezi vumilia huo upupu hata kidogo
Kwa pemba sawa si wote ni Waislam. Mimi naona hamna shida.
Ni maoni yangu tu
kipindi hichi Cha Ramadhani si muda wa kutenda Mema?
Thinking out loud............................
hii dini wanajijua wenyewe, wanalazimisha wengine kwa nguvu kufanya watakayoView attachment 1094622
Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)
Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula
Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga
Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Sasa bakora tu ndio unashangaa? Mbona sisi zaidi ya million 50 tunaburuzwa nakupelekeshwa na watu wawili tuWe unaona sawa mtu mzima kutandikwa bakora!
Mkuu jamaa huwa wanabonda hao ukijifanya kujitutumua watakumaliza watawanyike.Eti nichapwe fimbo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] iyo noma ntaletaa hawatakaa waamini. Yani ntapasua watu na mawe. Haki naapa tutauana hapo.