watu wa mwanza mpooo!

Sweetlol

Senior Member
Joined
May 9, 2011
Posts
102
Reaction score
24
Jaman nakuja mwanza kwenu kikaz nntakaa miez sita.sina nnaemjua.plz kama utapenda kunipokea ni pm plz
 
Jaman nakuja mwanza kwenu kikaz nntakaa miez sita.sina nnaemjua.plz kama utapenda kunipokea ni pm plz



karibu sana mwanza :welcome::welcome::welcome:, the rocky city.

mimi napatikana mwanza mujini na kama utapenda twaweza kuonana kama ulivoomba....!
 
Unafikia wapi?
Ntakufuata eapoti ukifika.
 
Mie mwenyewe nitakuwepo huko mwisho ya mwezi, naondoka Dar for good. Mkazi mpya wa Mwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…