Mkuu hatimaye umefika maana hii safari ilianza muda mrefu sana toka October!Updates:
Nashukuru kwa muumba wa mbingu na ardhi kufika salama ndani ya ardhi ya Kgm... Na pia niwapongeze wale wote ambao walinikaribisha. Na mda huu nipo Kwamchaga.
Sawasawa Mkuu,nadhani ushakutana na wenyeji wako?Hahahaha ni kweli mkuu mda huu nipo maeneo ya Nazareti.
Aisee..... ''Mkataa kwao mtumwa'' mimi ni wa kigoma mkuuWewe sio wa Kigoma..
Nipe namba yake mkuu niko jirani naenaomba nikutume mkuu kuna kijiji kimoja kinaitwa mgombe kipo kasulu kuna mwanamke nilimzalisha hapo naomba kaniangalizie
hamchezi mbali wazee wa fursaNipe namba yake mkuu niko jirani nae