Watu wa Kigoma naomba mnipokee mgeni wenu.

Updates:
Niwashukuru sana baadhi ya ndugu zangu wa Kigoma kwa kunipa ushirikiano kuanzia mwanzo wiki niliyofika kwenu hadi kumalizika. Pia nimkumbushe Da vinci kwamba....aliniambia nikifika nimwambie lakini cha kushangaza baaada ya kufika hakunijibu chochote hadi leo. Ila sio mbaya tupo pamoja.
Pia niwaambie kwamba nimeshageuza narudi home baada ya kumaliza majukumu yangu.

Nawatakia maisha mema...Safari nyingine najiandaa kwenda Arusha mwakani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom