Nyinyi wananchi wanyonge wakawaida tutawapa utaratibu maalumu mpate japo masaa 2tu .AhsanteHabari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma
2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati
we nafasi yako ni pale diamond jubilee kwa watu wa kawaidaHabari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma
2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Okoa nauli yako maana uwepo wako hauathiri chochote.Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma
2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaa gani huo?vijana wa mtaa tuko makini huu msimu wa majonzi msijali
Aisee basi kazi ipoWapiga kura wote mtakutana Viwanja vya Karimjee
Masaki ile ya Mzee wa safari ya matumaini ni ile Masaki yenyewe waliyokuwa wanaishi Mabepari hakuna boda boda wala daladala
Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma
2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati
Sent using Jamii Forums
Me ni mwananchi wa kipato cha katiHabari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma
2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba mnawalegezea wananzengo ama sio!vijana wa mtaa tuko makini huu msimu wa majonzi msijali
Contractor assassinukipata nafas ya kwenda apo msibani beba cv za kutosha pia unaweza kubeba na business cards kadha wa kadha kama uchumi unaruhusu beba na roll-up banner hapo msibani kuna connections za kutosha unaweza kupata ajira deals za biashara pia unaweza kuchange career ukawa contractor assassin