Watu wa information technology(it) office za mikoa na halmashauri za wilaya

Watu wa information technology(it) office za mikoa na halmashauri za wilaya

tunze

Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
8
Reaction score
0
Wakuu naombeni mnisaidie hv watu wa IT especially system analysts katika office za mkoa na wilaya (serikalini) wanafanya kazi gani hasa .....maana nimepata mkoa mmoja sasa naomben mnaofanya kazi huko au ambao mna watu wanaofanya huko mnipe overview...nashukuruni sana.
 
(i) Kuweka kumbukumbu za
taratibu za kisasa na mbinu za
kufanyia kazi.
(ii) Kutekeleza chati za mtiririko wa
mifumo ya nyendo za taarifa na
udhibiti unaohusu Kompyuta.
(iii) Kutoa msaada wa kiufundi kwa
Wizara/Idara/Vituo mbalimbali vya kazi
 
(i) Kuweka kumbukumbu za
taratibu za kisasa na mbinu za
kufanyia kazi.
(ii) Kutekeleza chati za mtiririko wa
mifumo ya nyendo za taarifa na
udhibiti unaohusu Kompyuta.
(iii) Kutoa msaada wa kiufundi kwa
Wizara/Idara/Vituo mbalimbali vya kazi
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom